Kirade

Kirade ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vietnam inayozungumzwa na Waede. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kirade imehesabiwa kuwa watu 177,000. Labda kuna wasemaji wachache nchini Kamboja. Kufuatana uainishaji kwa ndani zaidi, lugha wa Kirade iko katika kundi la Kichamiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search